VIDEO: EWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA
MWILI wa Meneja Biashara wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza umeagwa siku ya jana nyumbani kwake Yombo, Vituka jijini Dar es Salaam. Marehemu alikutwa amekufa hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitoka Dodoma ambako alikuwa akihojiwa na Kamati ya Bunge la Bajeti akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLEWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Meneja EWURA alijinyonga-Polisi
NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFUBdFBjMCTvWE7Z3eVZBAZkpLAa4PPpGrWA0ReWL1dudZA82N7ZgvZOmSJdLkKHVOw6a8BOaWlRlT7AiRJOHb36/meneja.jpg?width=650)
MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA
11 years ago
Mwananchi23 May
Simanzi zatawala mazishi ya meneja wa Ewura
11 years ago
Mwananchi20 May
Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu
11 years ago
Mwananchi22 May
Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura
11 years ago
Mwananchi19 May
Meneja Ewura ajiua hotelini baada ya kuhojiwa na Bunge
10 years ago
MichuziTANZIA: GAZETI LA JAMBO LEO LAMPOTEZA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE
KAMPUNI ya JL Comunications inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti, imepata pigo baada ya aliyekuwa Meneja wake Mkuu Ramadhani Kibanike kufariki.
Kibanike amefariki dunia leo mchana nyumbani kwake Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Akitoa taarifa ya kifo hicho kwa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Theophil Makunga alisema Kibanike alikumbwa na mauti leo...
10 years ago
VijimamboCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE