Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE

 Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake. Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike leo jioni. Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.
 Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na  kifo hicho. Wanahabari Nyendo Mohamed (katikati), Edith Msuya (kulia) na  Magendela Hamisi wakiwa katika hali ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZIA: GAZETI LA JAMBO LEO LAMPOTEZA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE


Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake.Na Dotto Mwaibale


KAMPUNI ya JL Comunications inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti, imepata pigo baada ya aliyekuwa Meneja wake Mkuu Ramadhani Kibanike kufariki.


Kibanike amefariki dunia leo mchana nyumbani kwake Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mrefu.


Akitoa taarifa ya kifo hicho kwa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Theophil Makunga alisema Kibanike alikumbwa na mauti leo...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MENEJA WA JAMBO LEO, RAMADHANI KIBANIKE AFARIKI DUNIA

Marehemu Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake.  Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na huzuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike jana jioni. Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO WAPATA MSIBA TENA



Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ni msiba tena Jambo Concepts (T) Ltd, wachapishaji wa Gazeti la Jambo Leo

IMG_8831

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.

Marehemu...

 

10 years ago

GPL

MAISHA YA HUZUNI YA CHOKI BAADA YA KIFO CHA MKEWE!

Makala: Gladness Mallya
Ni maisha ya huzuni! Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu aondokewe na mkewe kipenzi, Shuea Hamis ’Mama Shuu’, Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki, kwa mara ya kwanza amefunguka mazito kuhusiana na maisha anayoishi sasa. Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Ali Choki . Mke wa Choki alifariki dunia hivi karibuni baada...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uvamizi katika chumba cha habari Ufaransa

Takriban Watu 12 wameuawa na watano kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na watu wasiojulikana nchini Ufaransa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Gazeti la Jambo leo latinga mtandaoni

Capture

Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani