JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO WAPATA MSIBA TENA
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Ni msiba tena Jambo Concepts (T) Ltd, wachapishaji wa Gazeti la Jambo Leo
![IMG_8831](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_8831.jpg)
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Gazeti la Jambo leo latinga mtandaoni
Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo linatolewa na kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha Jarida la Jambo Brand Tanzania, gazeti la michezo la kila wiki, Staa Spoti na gazeti la matangazo la Dar Metro linalotoka kila baada ya wiki mbili.
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/06/IMG_0135.jpg)
MHARIRI MTENDAJI GAZETI LA JAMBO LEO AMEREMETA
10 years ago
MichuziPIGO LINGINE KWA KAMPUNI YA JAMBO CONCEPTS (T) LTD
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...
10 years ago
MichuziTANZIA: GAZETI LA JAMBO LEO LAMPOTEZA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE
KAMPUNI ya JL Comunications inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti, imepata pigo baada ya aliyekuwa Meneja wake Mkuu Ramadhani Kibanike kufariki.
Kibanike amefariki dunia leo mchana nyumbani kwake Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Akitoa taarifa ya kifo hicho kwa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Theophil Makunga alisema Kibanike alikumbwa na mauti leo...
10 years ago
VijimamboCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE
9 years ago
Bongo501 Sep
Music: Jambo Squad Ft Young Omega — Jambo Squad Cafe
9 years ago
TheCitizen06 Jan
Manji buys Jambo Leo in big deal
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Pql0LVpK4fQ/VXFfNy_KezI/AAAAAAAAd98/4UO_hAm8RL0/s72-c/jambo.jpeg)
TAMASHA LA JAMBO FASHION AFFAIR KUFANYIKA LEO ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Pql0LVpK4fQ/VXFfNy_KezI/AAAAAAAAd98/4UO_hAm8RL0/s320/jambo.jpeg)
TAMASHA la Jambo Fashion Affair linatarajia kufanyika leo Jijini hapa na kushirikisha wabunifu wa ndani pamoja na wasanii kutoka Jijini Arusha na mikoa mbalimbali. Akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo linafanyika leo, Augustine Namfua ambaye ni Mwenyekiti wa Jambo Festval alisema wamaejiandaa vizuri kuhakikisha wananchi wataohudhuria wanapata burudani ya ubunifu wa mavazi sambamba na muziki. Alisema wabunifu mbalimbali watakuwepo kama An Nisa, Fatma Naeem, Martin Kadinda ,Wanyoke Lewis,...