Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simanzi zatawala mazishi ya meneja wa Ewura

Simanzi, majonzi na kila aina ya huzuni vilitawala makaburini pamoja na minong’ono ya hapa na pale kuhusu mazingira ya kifo cha aliyekuwa meneja wa biashara ya petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Simanzi zatawala mapokezi mwili wa Celina Kombani

Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakati mwili wa Celina Kombani, aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ulipowasili.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Meneja EWURA alijinyonga-Polisi


NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia  siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...

 

10 years ago

Habarileo

Vilio, simanzi mazishi ya Komba

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba akilia wakati akiaga mwili wa marehemu John Komba, jana.(Picha na Mpigapicha Wetu)RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.

 

11 years ago

GPL

SIMANZI MAZISHI YA AMINA NGALUMA

Stori: WAANDISHI WETU Vilio! Majonzi na simanzi vimetawala kwenye mazishi ya aliyekuwa mwimbaji wa dansi Bongo, Amina Ngaluma ‘Japanese’ (41) aliyefariki dunia Mei 15, mwaka huu huko nchini Thailand. Mama mzazi wa Amina Nguluma akilia kwa uchungu usiku wa kupokea mwili wa Marehemu Amina Nguluma kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. Mwanamuziki huyo wa siku nyingi ambaye alifariki dunia baada...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

11 years ago

GPL

EWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Julius N. Gashanza.
Mke wa marehemu Gashanza, Mama Baraka (mwenye miwani) akiwa na simanzi nzito.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar

>Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala maeneo ya Kipunguni A na baadaye kwenye Makaburi ya Airwing Ukonga, Ilala wakati miili ya watu sita waliofariki dunia kwa kuungua moto Jumamosi alfajiri ilipozikwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza anazikwa leo katika Kijiji cha Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera huku familia yake ikisema haina cha kusema kuhusu kifo hicho, bali inamwachia Mungu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani