Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

11 years ago

Mwananchi

Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza anazikwa leo katika Kijiji cha Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera huku familia yake ikisema haina cha kusema kuhusu kifo hicho, bali inamwachia Mungu.

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO

Umati wa vijana ukiwa hauamini kutokea kwa kifo cha Abdul Bonge. Meneja wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo. Msanii wa filamu za Kibongo, Baba Haji, akiwaelekeza wenzake ulipo msiba.…

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utata maelezo kifo cha mshtakiwa wa ugaidi

WAKATI Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikielezwa kuwa taratibu za mazishi ya mtuhumiwa wa pili katika kesi ya ugaidi ya tukio la mlipuko wa bomu katika Baa ya Arusha Night...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utata wajitokeza kifo cha Meshack Yebei

Hali tata imezidi kujitokeza juu ya kifo cha mtu anayetajwa kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Naibu Rais wa Kenya William Ruto

 

10 years ago

GPL

BMW LA WEMA UTATA MTUPU

Stori: Waandishi Wetu
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao. Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa ndani ya Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa na meneja wake. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa IPTL utata mtupu

WAKATI Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), akitamba kuendelea kupiga kelele hadi fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow zirudishwe, suala hilo linazidi kugubikwa na utata, Tanzania Daima Jumatano limebaini....

 

11 years ago

GPL

GARI LA GURUMO UTATA MTUPU

AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Lile gari la aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi aliyefariki dunia hivi karibuni, Muhidin ‘Maalim’ Gurumo alilopewa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeibua utata mtupu ndani ya familia ya marehemu huyo baada ya kubainika kwamba kumbe hakupewa kadi yake. Gari aina ya Toyota FunCargo iliyosababisha hali ya sintofahamu kwenye familia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani