Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikosi maaalum kuchunguza kifo cha Balozi

>Siku mbili baada ya Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat kujiua kwa risasi akiwa ofisini kwake, Jeshi la Polisi kupitia kikosi maalum cha uchunguzi wa matukio ya kujiua, limeanza uchunguzi wa kifo hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza anazikwa leo katika Kijiji cha Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera huku familia yake ikisema haina cha kusema kuhusu kifo hicho, bali inamwachia Mungu.

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU OTHMAN CHANDE KUOGOZA JOPO HURU KUHUSU KIFO CHA DAG HAMMARSKJOLD

Na Mwandishi Maalum,  New York

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban  Ki Moon  amemteua Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman (pichani)   kuongoza jopo  huru la wataalam watakaopitia taarifa mpya  kuhusu kifo cha   Bw. Dag  Hammarskjold ambaye  aliwahi kuwa   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

“ Katibu Mkuu anayofuraha ya  kutangaza kwamba amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa   jopo huru la wataalamu. Bw.  Mohamed Chande Othman kutoka Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jopo laundwa kuchunguza viongozi Kenya

Jopo maalum limeundwa ilikuwachunguza maafisa wakuu serikalini na wanasiasa ambao wametuhumiwa kuhusika na ufisadi.

 

9 years ago

GPL

MKE WA MTIKILA AMUOMBA KIKWETE KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MUMEWE

Mke wa marehemu Mch. Mtikila, Georgia Mtikila (katikati) akizungumza na wanahabari. Hapawapo pichani. Wanahabari wakichukua tukio hilo. Georgia Mtikila akisoma taarifa yake pembeni yake…

 

11 years ago

Habarileo

Bosi wa Ewura kuagwa leo

ALIYEKUWA Meneja Biashara ya Mafuta wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza aliyefariki dunia juzi, anatarajiwa kuagwa leo nyumbani kwake Yombo Vituka, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Mke wa marehemu Mch. Mtikila aibuka na kumuomba Rais Kikwete aunde tume ya kuchunguza kifo cha mme wake

Mama Mtikila

Katibu Mkuu wa chama cha Democratic Party (DP) na Msemaji wa familia ambaye ni Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari mepema muda katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam. ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo suala la kutoridhishwa na ripoti ya jeshi la Polisi ambapo amemuomba Rais Dk. Jakaya Kikwete aunde tume huru ya kuchunguza kifo hicho. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[DAR ES...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani