Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikosi maaalum kuchunguza kifo cha Balozi

>Siku mbili baada ya Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat kujiua kwa risasi akiwa ofisini kwake, Jeshi la Polisi kupitia kikosi maalum cha uchunguzi wa matukio ya kujiua, limeanza uchunguzi wa kifo hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

 

9 years ago

GPL

MKE WA MTIKILA AMUOMBA KIKWETE KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MUMEWE

Mke wa marehemu Mch. Mtikila, Georgia Mtikila (katikati) akizungumza na wanahabari. Hapawapo pichani. Wanahabari wakichukua tukio hilo. Georgia Mtikila akisoma taarifa yake pembeni yake…

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Mke wa marehemu Mch. Mtikila aibuka na kumuomba Rais Kikwete aunde tume ya kuchunguza kifo cha mme wake

Mama Mtikila

Katibu Mkuu wa chama cha Democratic Party (DP) na Msemaji wa familia ambaye ni Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari mepema muda katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam. ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo suala la kutoridhishwa na ripoti ya jeshi la Polisi ambapo amemuomba Rais Dk. Jakaya Kikwete aunde tume huru ya kuchunguza kifo hicho. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale,Modewjiblog

[DAR ES...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Kamala aomboleza kifo cha Kiongozi wa zamani wa Singapore

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Singapore Ubelgiji. Singapore imempoteza Mhe. Lee Kuan Yew aliyewahi kuwa Kiongozi wa Singapore na ambaye aliwezesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi tajiri Diniani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dar yazizima kufuatia kifo cha Balozi Flossie Gomile Chidyaonga

DSC_0051

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini, Mh Flossie Gomile Chidyaonga kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame akibadilishana mawazo na Balozi...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO CHA BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA,HAYATI FLOSSIE GOMILE

Serikali imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Balozi wa Malawi hapa nchini Hayati Mhe. Flossie Gomile Chidyaonga kilichotokea juzi Ijumaa tarehe 09 Mei, 2014. Balozi Chidyaonga alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Aga Khan ya hapa Dar es Salaam.
Balozi Flossie Chidyaonga alizaliwa tarehe 16 Juni, 1960 huko Blantyre nchini Malawi. Balozi Chidyaonga aliitumikia Serikali ya Malawi katika nyadhifa mbalimbali. Kati ya mwaka 2006 hadi 2010 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA INDIA, BWANA AVUL PAKIR JAINULABDEEN

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka saini kitabu cha maombolezo katika Ofisi ya Ubalozi mdogo wa India uliopo Migomani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa India Profesa Abdul Kalam Azad kilichotokea Tarehe 27 Julai 2015.Balozi Seif akimfariji Balozi Mdogo wa India aliyepo Zanzibar Bwana Setandar Kumar mara baada ya kuweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa 11 wa India Profes Abdul Kalam Azad.
 
Picha na – OMPR – ZNZ.
Makamu wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Mambo ya Nje yathibitisha kifo cha balozi wa Libya aliyejipiga risasi usiku wa kuamkia leo

bernard-membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Benard Membe.

Na Mwandishi wetu.

Balozi wa Libya nchini Mh. Ismail Nwairat amefariki dunia  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo baada ya kujipiga risasi ya kifuani upande wa kushoto akiwa ofisini kwake.

Taarifa iliyotolewa na  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ilisema kuwa,  ilipokea taarifa kutoka kwenye Ubalozi huo kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya,  Ismail Nwairat amefariki dunia  kwa kujipiga risasi.

Hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani