Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Kamala aomboleza kifo cha Kiongozi wa zamani wa Singapore

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Singapore Ubelgiji. Singapore imempoteza Mhe. Lee Kuan Yew aliyewahi kuwa Kiongozi wa Singapore na ambaye aliwezesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi tajiri Diniani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland Mhe. Albert Reynolds. Kitabu hicho kimefunguliwa leo katika Ubalozi wa Ireland Ubelgiji.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA INDIA, BWANA AVUL PAKIR JAINULABDEEN

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka saini kitabu cha maombolezo katika Ofisi ya Ubalozi mdogo wa India uliopo Migomani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa India Profesa Abdul Kalam Azad kilichotokea Tarehe 27 Julai 2015.Balozi Seif akimfariji Balozi Mdogo wa India aliyepo Zanzibar Bwana Setandar Kumar mara baada ya kuweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa 11 wa India Profes Abdul Kalam Azad.
 
Picha na – OMPR – ZNZ.
Makamu wa...

 

11 years ago

Michuzi

KIONGOZI MKUU WA SERIKALI YA JIMBO LA FLANDERS LA UBELGIJI AKUTANA NA BALOZI KAMALA

Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Jimbo la Flanders la Ubelgiji Mhe. Kris Peeters akisalimiana na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Balozi Kamala amemtembelea Mhe. Kris Peeters leo ofisini kwake Brussels.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi aomboleza kifo cha Marsh

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala

Nkwabi-Ng’wanakilalaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa  Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.Katika salamu ambazo amemtumia Mkuu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Kundya

RAIS Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, kuomboleza kifo cha aliyepata kuwa Naibu Waziri, Mbunge na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Mahami Kundya.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Kisumo

RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani