BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND
.jpg)
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland Mhe. Albert Reynolds. Kitabu hicho kimefunguliwa leo katika Ubalozi wa Ireland Ubelgiji.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
.jpg)
11 years ago
GPL
BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.
11 years ago
Dewji Blog30 Aug
Pinda atia saini kitabu cha maombolezo ubalozi wa Ireland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland, Albert Reynolds kwenye ubalozi wa Ireland jijini Dar es salaam August 28, 2014. kulia ni Balozi wa nchi hiyo nchini, Fionnuala Gilsenan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Fionnuala Gilsenan baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Albert Reynolds, kwenye ubalozi wa...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.

5 years ago
MichuziDKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS NKURUNZIZA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI
.jpg)
.jpg)
9 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA UFARANSA NA AWASILI DODOMA KWA GARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Rais Magufuli asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa na awasili mjini Dodoma kwa gari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Malika Berak kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi...