Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI, NKURUNZIZA


 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.



 

5 years ago

Michuzi

DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS NKURUNZIZA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Gervais Abayeho.  


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atia saini kitabu cha maombolezo ubalozi wa Ireland

PG4A3634

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland, Albert Reynolds kwenye ubalozi wa Ireland jijini Dar es salaam August 28, 2014. kulia ni Balozi wa nchi hiyo nchini, Fionnuala Gilsenan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3645

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Fionnuala Gilsenan baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Albert Reynolds, kwenye ubalozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland Mhe. Albert Reynolds. Kitabu hicho kimefunguliwa leo katika Ubalozi wa Ireland Ubelgiji.

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani