Breaking News: Mke wa marehemu Mch. Mtikila aibuka na kumuomba Rais Kikwete aunde tume ya kuchunguza kifo cha mme wake
Katibu Mkuu wa chama cha Democratic Party (DP) na Msemaji wa familia ambaye ni Mke wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari mepema muda katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam. ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo suala la kutoridhishwa na ripoti ya jeshi la Polisi ambapo amemuomba Rais Dk. Jakaya Kikwete aunde tume huru ya kuchunguza kifo hicho. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[DAR ES...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MKE WA MTIKILA AMUOMBA KIKWETE KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MUMEWE
10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA ZAIDI
CHANZO: TBC TV
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MKE WA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: WATOTO WA MAREHEMU, MKE/MME, WAJUKUU.N.K HUGAWANAJE MIRATHI

Mara nyingi nimeandika kuhusu mirathi lakini zaidi nimegusia habari ya usimamizi wa mirathi . Leo nimeona ni muhimu kueleza mgao wa mirahi kwa kuangalia nani anapata nini kupitia Sheria ya mirathi ya serikali. Fuatana nami.
( A ) MGAO UKOJE IKIWA MUME AMEFARIKI AKAACHA MJANE, WATOTO NA NDUGU ZAKE.
Kama mume amefariki na akaacha mjane na watoto basi moja ya tatu ( 1/3) ya mali za marehemu zilizo kwenye mirathi anatakiwa apewe mke wake. Mbili ya...
10 years ago
Michuzi04 Oct
ISOME HAPA SAFARI NZIMA YA MAISHA YA MAREHEMU MCH.MTIKILA

MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini.
Mtikila alizaliwa mwaka 1950 mkoani Iringa, kusini mwa nchi yetu.(Kwa bahati mbaya, hadi nachapisha uchambuzi huu sikupata taarifa za elimu yake) kwani hakuwa mwepesi kutoa ushirikiano mwezi mmoja uliopita alisafiri kwenda nje ya nchi na kurejea wakati nikiwa katika hatua za mwisho za uhariri.
Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atumia Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Lewis Makame

Marehemu Jaji Mstaafu,Lewis Makame enzi za uhai wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za...
10 years ago
Dewji Blog05 Oct
Breaking News: Taarifa za kifo cha Mbunge na Waziri wa Serikali ya Tanzania zasambaa kwa kasi mitandao ya kijamii
Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[TANZANIA] Licha ya uwepo wa sheria kali ya mitandao ya kijamii nchini Tanzania ambayo inawaweka matatani kwa mtu anayekiuka sheria hizo ikiwemo kusambaza habari za uongo na uchochezi, lakini bado Watanzania wengi wamekuwa mstari wa mbele kusambaza habari za uchochezi na uzushi kana kwamba hakuna sheria wala kanuni na taratibu zinazoweza kuwazuia kufanya hivyo.
Tayari kuanzia jana Oktoba 4 na siku ya leo Oktoba...