MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA
![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFUBdFBjMCTvWE7Z3eVZBAZkpLAa4PPpGrWA0ReWL1dudZA82N7ZgvZOmSJdLkKHVOw6a8BOaWlRlT7AiRJOHb36/meneja.jpg?width=650)
Na Haruni Sanchawa JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 May
Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu
11 years ago
Mwananchi22 May
Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura
11 years ago
Mwananchi21 May
Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8mNKMOI9wpBwpnMdC32qfWs4ggz7NZtaL8f4CCzVb0bSzg-hnRF1zNSvFc-UyCq0aDXUUljLysC33TS*XmKnakS/Mtikila.jpg?width=650)
MASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Meneja EWURA alijinyonga-Polisi
NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...
11 years ago
Mwananchi23 May
Simanzi zatawala mazishi ya meneja wa Ewura
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Ni kwanini kifo cha mlinzi wa William Ruto, Sajini Kenei kinaibua maswali?
11 years ago
GPLEWURA YAMLILIA MENEJA WAO JULIUS GASHAZA
11 years ago
Mwananchi19 May
Meneja Ewura ajiua hotelini baada ya kuhojiwa na Bunge