Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni kwanini kifo cha mlinzi wa William Ruto, Sajini Kenei kinaibua maswali?

Utata unaozingira kifo cha Sajini Kipyegon Kenei, aliyekuwa mkuu wa usalama katika ofisi ya Naibu Rais wa Kenya Dkt William Ruto unaendelea kuzua maswali mengi kuliko majibu baada ya idara inayochunguza uhalifu (DCI) kudai kwamba kuuawa kwa polisi huyo kunahusiana na matukio katika ofisi ya kiongozi huyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...

 

11 years ago

Michuzi

NAPATA WAKATI MGUMU SANA KUTAARIFA KIFO CHA MLINZI WA AMANI - BAN KI MOON

 . Bango lenye Majina ya Walinzi wa Amani 106 ambao wamepoteza maisha  mwaka 2013 wakati wakitekeleza dhamana ya  ulinzi wa Amani chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa.  Kati ya walinzi hao 106 wamo watanzania 10.  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,  Ban Ki Moon, akizungumza wakati wa hafla ya siku ya Kimataifa ya  kuwakumbuka na kuwaenzi walinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, pamoja na  106 waliopoteza maisha mwaka jana, kumbukumbu hiyo hufanyika  Mei 29 kila mwaka.  Katika Salamu zake,...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

Marehemu Dkt. William Mgimwa.…

 

9 years ago

GPL

MASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!

Na Waandishi Wetu
BASI tena! Kifo cha ajali ya gari cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation, Mchungaji Christopher Mtikila kimewaacha wananchi na majonzi makubwa lakini nyuma yake, Uwazi limebaini maswali 10 tata kuhusu ajali hiyo.  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation, Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake....

 

11 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC: Afueni kwa William Ruto

Mahakama ya kimataifa ya ICC, imemruhusu Naibu Rais wa Kenya William Ruto kutohudhuria baadhi ya vikao vya kesi dhidi yake katika mahakama hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

William Ruto: Naibu wa rais Kenya adai idara ya jinai 'inatumiwa' kumkabili kisiasa

Naibu wa rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba Idara ya jinai nchini Kenya inatumika kumkabili kisiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani