NAPATA WAKATI MGUMU SANA KUTAARIFA KIFO CHA MLINZI WA AMANI - BAN KI MOON
![](http://4.bp.blogspot.com/-BmX56OaZ6u8/U4hKxQCbEmI/AAAAAAAFmdg/8fJcPHz1KK4/s72-c/unnamed+(17).jpg)
. Bango lenye Majina ya Walinzi wa Amani 106 ambao wamepoteza maisha mwaka 2013 wakati wakitekeleza dhamana ya ulinzi wa Amani chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa. Kati ya walinzi hao 106 wamo watanzania 10.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza wakati wa hafla ya siku ya Kimataifa ya kuwakumbuka na kuwaenzi walinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, pamoja na 106 waliopoteza maisha mwaka jana, kumbukumbu hiyo hufanyika Mei 29 kila mwaka. Katika Salamu zake,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-m5VqobjRyBE/VeTQto_jIFI/AAAAAAAH1bc/viALSWZnBTc/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
HUBIRINI AMANI, USALAMA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO ENDELEVUWATU -BAN KI MOON
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pNBdVlin5Lw/VbHEumWFvGI/AAAAAAAHrYs/5dS9hlmWL6c/s72-c/unnamed.jpg)
BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s72-c/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,
![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s640/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
Na Mwandishi...
10 years ago
Vijimambo09 Jan
BAN KI MOON ASIKITISHWA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI DHIDI YA WALINZI WA AMANI NA WATOA MISAADA YA KIBINADAMU
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-4vrDwntgzbg%2FVK8zuD6sBRI%2FAAAAAAADVHQ%2FI4RKP3dJPKI%2Fs1600%2F618806%252B-%252BCopy.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DXMdvHWwiYs/VUqICZfdL9I/AAAAAAAHVzI/3yy5CgZs1pI/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-DXMdvHWwiYs/VUqICZfdL9I/AAAAAAAHVzI/3yy5CgZs1pI/s1600/unnamed%2B(59).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FwJywR8ndPA/VK_QThEE6fI/AAAAAAAG8Ms/OUnsqZ3KuxQ/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Ban Ki Moon asikitishwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani na watoaji wa misaada ya kibinadamu
![](http://2.bp.blogspot.com/-FwJywR8ndPA/VK_QThEE6fI/AAAAAAAG8Ms/OUnsqZ3KuxQ/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-sGYIGfbGR-M/VK_RCS6jX6I/AAAAAAAG8M4/r488MsuQsLY/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Ni kwanini kifo cha mlinzi wa William Ruto, Sajini Kenei kinaibua maswali?
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Maandamano ya amani dhidi ya kifo cha George Floyd
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Mkwasa apata wakati mgumu