WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-DXMdvHWwiYs/VUqICZfdL9I/AAAAAAAHVzI/3yy5CgZs1pI/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji walinzi wa amani kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC) kufuatia shambulio lililotokea siku ya Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s72-c/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,
![](http://3.bp.blogspot.com/--a1yOgVq098/VUsdd4eBQtI/AAAAAAADmIo/ZxhsIjRyOKw/s640/05-06-2015Kobler_MONUSCO.jpg)
Na Mwandishi...
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Ban Ki-Moon alaani yanayojiri S.kusini
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-UTGEExdkR6E/VWmVK7qJDrI/AAAAAAABwbM/Zo_8IUYr2do/s72-c/UN%2B1.jpg)
UMOJA WA MATAIFA WA WAENZI WALINDA WA AMANI WALIOPOTEZA MAISHA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-UTGEExdkR6E/VWmVK7qJDrI/AAAAAAABwbM/Zo_8IUYr2do/s640/UN%2B1.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Sep
Wawili wapoteza maisha Ubena Senge
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA
WATU wawili wamekufa na wengine 25 wamenusurika baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Ubena Senge, Bagamoyo, barabara kuu ya Morogoro.
Ajali hiyo ilitokea jana, saa 12.15 asubuhi, baada ya gari aina ya Toyota Coaster no.T 663 BKP, kugongana na gari la mafuta, aina ya Leyland lenye namba T858 CLK na tela T 421 CKY, mali ya kampuni ya Ramader . Gari hilo lilikuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39cGWAhwTCD5R58q6JwWKkBLHOg*tl6GSCaTUV038fQJvyoMG0TINzpN9UNd7kZH7P*LeuydgLO4jIEHOXrD7AGi/VURUGU.jpg)
VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wawili wapoteza maisha na 52 wajeruhiwa ajali ya basi Singida
Askari wa usalama barabarani wilaya ya Ikungi, akikagua basi la kampuni ya KISBO, T.534 CHX baada ya kupinduka katika eneo la kijiji cha Kambi ya mkaa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 52.
Na Nathaniel Limu, Singida
ABIRIA wawili wamefariki dunia na wengine 52 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la mbele kulia na kuacha barabara na kisha kupinduka.
Basi lililohusika na ajali hiyo ni T.534 CHX aina ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8L_1vwC76ec/U58ojgglJJI/AAAAAAAFrHo/yDNlFz_AkHE/s72-c/0.jpg)
askari wawili wapoteza maisha katika ajali chalinze leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-8L_1vwC76ec/U58ojgglJJI/AAAAAAAFrHo/yDNlFz_AkHE/s1600/0.jpg)
Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia huku mmoja akijeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi (SACP) Ulrich Matei (pichani) amesema kuwa ajali hiyo ilihusisha lori na gari dogo. Kamanda Matei alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Juni 16 mwaka huu majira saa 1:15 usiku eneo la Chamakweza kata ya Pera tarafa ya Chalinze wilayani...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wachezaji wawili wapoteza maisha, ni baada ya gari waliyotumia kuacha barabara
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya ajali ya gari aina ya Noah T.987 CQN iliyokuwa imepakia abiria 24, kuacha barabara na kisha kugonga mti na kuuawa wachezaji wawili wa timu ya soka ya kijiji cha Kinambeu akiwemo mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Tumaini kata ya Kinampanda wilaya ya Iramba.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
WACHEZAJI wawili wa timu ya soka ya kijiji cha Kinambeu...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-m5VqobjRyBE/VeTQto_jIFI/AAAAAAAH1bc/viALSWZnBTc/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
HUBIRINI AMANI, USALAMA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO ENDELEVUWATU -BAN KI MOON