Wachezaji wawili wapoteza maisha, ni baada ya gari waliyotumia kuacha barabara
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya ajali ya gari aina ya Noah T.987 CQN iliyokuwa imepakia abiria 24, kuacha barabara na kisha kugonga mti na kuuawa wachezaji wawili wa timu ya soka ya kijiji cha Kinambeu akiwemo mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Tumaini kata ya Kinampanda wilaya ya Iramba.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
WACHEZAJI wawili wa timu ya soka ya kijiji cha Kinambeu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAWILI WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI AKIWEMO MMILIKI WA MATEI LOUNGE
Mnamo tarehe 30/12/2014 majira ya 18:30hrs huko njia panda ya NARCO barabara kuu ya Morogoro – Dodoma Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma gari lenye namba za usajili T. 213 DAR Toyota Mark X, likiendeshwa na HASSAN s/o HUSSEIN, mwenye umri wa miaka 42, mzigua, Mkazi wa Dodoma likiwa na abiria wanne wakitokea Morogoro wakielekea Dodoma liligonga kwa nyuma gari lenye namba za usajili T. 963 BRC Leyland Daf lililokuwa na tela lenye namba T. 708 ASP...
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
11 years ago
MichuziWAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE TISA MAJERUHI KATIKA AJALI MBILI TOFAUTI MOJA IKIHUSISHA GARI LILILOBEBA WANAHABARI WA MBONI SHOW MKOANI DODOMA.
Watu wawili wamepoteza maisha kutokana na ajali mbili zilizotokea katika maeneo mawili tofauti na nyakati tofauti Mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP (pichani) ameeleza kuwa, ajali ya kwanza ilitokea tarehe 30/05/2014 majira ya saa 18:30hrs katika kijiji cha Ipala Wilaya ya Dodoma ambapo gari lenye namba za usajili DFP 614 Toyota Land Cruiser mali ya chuo cha Serikali...
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Sep
Wawili wapoteza maisha Ubena Senge
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA
WATU wawili wamekufa na wengine 25 wamenusurika baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Ubena Senge, Bagamoyo, barabara kuu ya Morogoro.
Ajali hiyo ilitokea jana, saa 12.15 asubuhi, baada ya gari aina ya Toyota Coaster no.T 663 BKP, kugongana na gari la mafuta, aina ya Leyland lenye namba T858 CLK na tela T 421 CKY, mali ya kampuni ya Ramader . Gari hilo lilikuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani,...
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wawili wapoteza maisha na 52 wajeruhiwa ajali ya basi Singida
Askari wa usalama barabarani wilaya ya Ikungi, akikagua basi la kampuni ya KISBO, T.534 CHX baada ya kupinduka katika eneo la kijiji cha Kambi ya mkaa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 52.
Na Nathaniel Limu, Singida
ABIRIA wawili wamefariki dunia na wengine 52 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la mbele kulia na kuacha barabara na kisha kupinduka.
Basi lililohusika na ajali hiyo ni T.534 CHX aina ya...
11 years ago
Michuziaskari wawili wapoteza maisha katika ajali chalinze leo
Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia huku mmoja akijeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi (SACP) Ulrich Matei (pichani) amesema kuwa ajali hiyo ilihusisha lori na gari dogo. Kamanda Matei alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Juni 16 mwaka huu majira saa 1:15 usiku eneo la Chamakweza kata ya Pera tarafa ya Chalinze wilayani...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Askari wanne na raia 14 wapoteza maisha katika ajali ya gari Singida
Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa wanatafakari juu ya ndugu zao kugongwa na basi la summry la kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi.
Baadhi ya ndugu wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida,wakisubiri kuchukua miili ya ndugu zao...
10 years ago
MichuziWALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI
11 years ago
MichuziWAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWWA KATIKA AJALI YA BASI NA BODABODA MKOANI LINDI LEO