WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji walinzi wa amani kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC) kufuatia shambulio lililotokea siku ya Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa
Na Mwandishi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI
10 years ago
MichuziBan Ki Moon asikitishwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani na watoaji wa misaada ya kibinadamu
Ban Ki Moon akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliibua hisia na majonzi makubwa miongoni wa...
10 years ago
Vijimambo09 Jan
BAN KI MOON ASIKITISHWA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI DHIDI YA WALINZI WA AMANI NA WATOA MISAADA YA KIBINADAMU
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Ban Ki-Moon alaani yanayojiri S.kusini
11 years ago
GPLVURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC
9 years ago
MichuziHUBIRINI AMANI, USALAMA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO ENDELEVUWATU -BAN KI MOON
10 years ago
MichuziBAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Watanzania wanne wapoteza maisha kwa mkanyagano Makka
11 years ago
MichuziNAPATA WAKATI MGUMU SANA KUTAARIFA KIFO CHA MLINZI WA AMANI - BAN KI MOON