Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC

Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani. Watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

JE MASHARTI MAPYA YA MECHI YAKO VIPI UWANJANI WAKATI HUU WA CORONA?

Borussia Dortmund iliwafunga wapinzani wao Schalke 4-0 huku wachezaji wakisherehekea magoli hayo kwa kugongana visukusukuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionBorussia Dortmund iliwafunga wapinzani wao Schalke 4-0 huku wachezaji wakisherehekea magoli hayo kwa kugongana visukusukuFeatured hyper: min. 10 pieces inc. 2 videosLigi ya kandanda nchini Ujerumani iliendelea siku ya Jumamaosi na kutoa ishara za jinsi ligi ya Premia na ligi nyengine kuu zitakavyochezwa wakati zitakaporejea.Ligi ya taifa la Korea Kusini ilianza wikendi iliopita , huku ligi ndogo ndogo kama ile ya Belarus na Nicaragua zikiendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

WALINZI WA AMANI WATANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI,

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji walinzi wa amani kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC) kufuatia shambulio lililotokea siku ya Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13 wamejeruhiwa

Na Mwandishi...

 

10 years ago

Michuzi

WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI

Mwakilishi Maalum wa  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya  Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji  walinzi wa amani  kutoka  Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC)  kufuatia shambulio  lililotokea siku ya  Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na  Katibu Mkuu, Ban  Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13...

 

10 years ago

Bongo5

Watu 10 wapoteza maisha baada ya helikopta mbili kugongana hewani wakati wakishoot reality show

Watu 10 wakiwemo wanamichezo wa olimpiki wa Ufaransa walioshindana kwenye mashindano hayo ya London 2012 wamekufa baada ya helikopta mbili kugongana hewani nchini Argentina jana. Watu hao walikuwa kwenye mchakato wa kutengeza kipindi cha TV. Washindi wa Olimpiki Camille Muffat, katikati, Florence Arthaud, wa pili kutoka kulia na Alexis Vastine wa mwisho kulia wakiwa pamoja […]

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA

Helkopta ya polisi ikijaribu kutuliza ghasia wakati wa mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea jana. Wachezaji wa Ghana wakitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea.…

 

11 years ago

BBCSwahili

15 waaga katika mkurupuko uwanjani DRC

Watu 15 wameaga dunia baada ya mkurupuko uwanjani Kinshasha DRC

 

10 years ago

Michuzi

vurugu zazuka kariakoo leo,wengi wapoteza fahamu

Msamaria mwema akimbeba Mamalishe alifahamika kawa jina la Khadija Rashidi aliezirai baada ya milipuko ya mabomu katika ghasia za wamachinga na Askari Polisi leo mchana katika eneo la kariakoo. Mama lishe huyo alikuwa katika shughuli zake za kutayarisha chakula ghafla wamachinga waliokuwa wanakimbia kutaka kujificha katika sehemu za wafanyabiashara hao. baadhi ya wasamaria wakimsaidia Mama lishe aliefahamika kwa jina Mwanahamisi ambaye alizimia baada ya mabomu kurindima katika vurugu kati ya...

 

10 years ago

Michuzi

NDEGE YAPATA AJALI UWANJANI WAKATI IKITUA

Ndege ya shirika la Delta, AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa senyenge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa ndege kuruka au...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je masharti mapya ya mechi yako vipi uwanjani ?

Ligi ya kandanda nchini Ujerumani iliendelea siku ya Jumamaosi na kutoa ishara za jinsi ligi ya Premia na ligi nyengine kuu zitakavyochezwa wakati zitakaporejea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani