15 waaga katika mkurupuko uwanjani DRC
Watu 15 wameaga dunia baada ya mkurupuko uwanjani Kinshasha DRC
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39cGWAhwTCD5R58q6JwWKkBLHOg*tl6GSCaTUV038fQJvyoMG0TINzpN9UNd7kZH7P*LeuydgLO4jIEHOXrD7AGi/VURUGU.jpg)
VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC
Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani. Watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe.
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
18 waaga katika ajali Tanzania
Watu wasiopungua 18 wameuawa katika ajali ya gari mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi mwa Tanzania
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Messi atapika uwanjani katika fainali Brazil
Nahodha wa timu ya Argentina, Lionel Messi ametapika wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia juzi, na hali hiyo ilimtokea mara kadhaa akiwa na Argentina na katika klabu yake ya Barcelona.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
63 wafariki katika ajali ya treni DRC
Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imewabeba kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Wengi wafariki katika mkanyagano DRC
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Emeneya.
5 years ago
BBCSwahili18 Apr
Watu 40 wafa maji katika mafuriko DRC
Nyumba 5,500 zimesombwa na maji ya mafuriko hayo yaliyowaathiri watu 77,790.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vdcPWvxaGys/VMJNuEqpIaI/AAAAAAAG_Js/gvZ_Hqm9stI/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC
![](http://4.bp.blogspot.com/-vdcPWvxaGys/VMJNuEqpIaI/AAAAAAAG_Js/gvZ_Hqm9stI/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Wafaransa 4 waaga Argentina
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, ameelezea masikitiko yake baada ya vifo vya watu wanane wengi wao raia wa Ufaransa.
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Mahujaji 27 waaga dunia India
Mahujaji 27 wameuawa kufuatia mkurupuko uliotokea katika warsha moja ya kidini katika jimbo la Andhra Pradesh nchini India.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania