Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YAPATA AJALI UWANJANI WAKATI IKITUA

Ndege ya shirika la Delta, AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa senyenge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa ndege kuruka au...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA JWTZ YAPATA AJALI JIJINI MWANZA LEO

Ndegevita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika ajali iliyotokea leo Februari 27, 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa MwanzaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.

Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati rubani wa ndegevita...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NDEGE YA JWTZ YAPATA AJALI JIJINI MWANZA LEO

Ndegevita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika ajali iliyotokea leo Februari 27, 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa MwanzaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.
Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita,  Wakati rubani wa ndegevita...

 

11 years ago

GPL

VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC

Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani. Watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe.

 

9 years ago

BBCSwahili

Malaysia yatafuta mmiliki wa ndege zilizoachwa uwanjani

Serikali ya Malaysia imeweka tangazo magazetini ikitafuta mmiliki wa ndege tatu aina ya Boeing 747 ambazo zimeachwa katika uwanja wa ndege Kuala Lumpur.

 

5 years ago

CCM Blog

JE MASHARTI MAPYA YA MECHI YAKO VIPI UWANJANI WAKATI HUU WA CORONA?

Borussia Dortmund iliwafunga wapinzani wao Schalke 4-0 huku wachezaji wakisherehekea magoli hayo kwa kugongana visukusukuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionBorussia Dortmund iliwafunga wapinzani wao Schalke 4-0 huku wachezaji wakisherehekea magoli hayo kwa kugongana visukusukuFeatured hyper: min. 10 pieces inc. 2 videosLigi ya kandanda nchini Ujerumani iliendelea siku ya Jumamaosi na kutoa ishara za jinsi ligi ya Premia na ligi nyengine kuu zitakavyochezwa wakati zitakaporejea.Ligi ya taifa la Korea Kusini ilianza wikendi iliopita , huku ligi ndogo ndogo kama ile ya Belarus na Nicaragua zikiendelea...

 

10 years ago

GPL

PAKA MWEUSI AKATIZA UWANJANI CAMP NOU, WAKATI BARCA YAUA 3-0 LA LIGA

Mchezaji wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga bao katika dakika ya 42 kipindi cha kwanza dhidi ya Elche usiku wa kuamkia leo. Paka mweusi akiingia uwanjani na kusababisha mchezo kusimama wa muda.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yapata ndege mpya

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege ya Clinton yapata hitilafu angani

Dar/Dom. Ndege iliyokuwa imembeba rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton na mwanaye Chelsea, juzi ilipata hitilafu katika moja ya injini zake na kulazimika kutua Dodoma kwa ajili ya matengenezo kabla ya kuendelea na safari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani