Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaysia yatafuta mmiliki wa ndege zilizoachwa uwanjani

Serikali ya Malaysia imeweka tangazo magazetini ikitafuta mmiliki wa ndege tatu aina ya Boeing 747 ambazo zimeachwa katika uwanja wa ndege Kuala Lumpur.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

11 years ago

Habarileo

Ndege zilizoachwa na Nyerere bado zadunda

WAKALA wa Ndege za Serikali umesema unajivunia kuwa na ndege mbili zilizoachwa na Hayati Mwalimu Julius Nyerere zinazohudumia viongozi wote wa Muungano hadi sasa.

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea yaBoing 777 , MH370
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.

Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.

Hata hivyo,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia haijapatikana

Maafisa nchini Malysia wanaendelea kuitafuta ndege iliyotoweka wakati ikitoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing Jumamosi iliyopita

 

10 years ago

Michuzi

NDEGE YAPATA AJALI UWANJANI WAKATI IKITUA

Ndege ya shirika la Delta, AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa senyenge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa ndege kuruka au...

 

11 years ago

CloudsFM

NDEGE YA MALAYSIA YATENGENEZEWA MOVIE

Wakati wataalamu wanaendelea kuitafuta Boeng 777 ile ndege ya nchini Malaysia iliyopotea tarehe 8 March ikiwa na abiria 239. Indian Film Director Rupesh Paul amewaambia hollywood reporter kuwa anatengeneza movie inayohusu ndege ya Malaysia MH370, Movie itaitwa Vanishing Act na kwa mujibu wa Pupesh anasema movie hiyo haitowaumiza familia za abiria waliopotea na ndege hiyo, na wala hailengi kuharibu uchunguzi unaoendelea.
Na director anaamini itasaidia katika uchunguzi huo, na movie tayari...

 

11 years ago

GPL

MIILI YA NDEGE YA MALAYSIA YASAFIRISHWA

Ndege ya Uholanzi iliyobeba miili 16 ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kharkiv, Ukraine kuelekea nchini Uholanzi. Miili ikiwa tayari kupakiwa kwenye ndege kuelekea Uholanzi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani