BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA
![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaa0d407G4PwKfjDz5R8Tqsq-gbyTGMK5Ev8vtobDYOdRjb*YJEYDL8ppD4CX1YbFMpYcsYwxfakdf7n3oBjfuO/bibiharusi.jpg?width=650)
Stori: Deogratius Mongela na Shani Ramadhani My God! Bibi harusi mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Edna Sangawe (34), mkazi wa Mikocheni B jijini Dar anadaiwa kunyongwa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo-Juu, Dar, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Marehemu Edna Sangawe (34) enzi za uhai wake. ILIVYOKUWA Kwa mujibu wa chanzo makini, Machi 31, mwaka huu muda wa saa 2:00 usiku,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTrcHadG1w6kWZZE75AnscgoTydi3WnEi7KWkj4LIQH76ubueVSNnCjb7j5l0cMsO4A-vAYK865mvBAHbgueD4q/BiHarusi.jpg?width=650)
BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAKZ51fEXXMh1y3IoC9Vcqo4WtVx9nvp*9D809QmTAKvPwf6eKnwd4IosDCyT8s4FKkA8rUVajJ3EeKwj-zQYW3/BACKIJUMAA.jpg)
SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s72-c/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-H1clHA6zHAs/VOWS1gTUuOI/AAAAAAAAHkA/Ez6l2ZC7Qcw/s640/Indian-Wedding-Photos-151.jpg)
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Bibi harusi aliyetoweka apatikana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi..
Tukiwa tumebakiza masaa machache kabla ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, Jeshi la Polisi limetoa tahadhari kuelekea mkesha wa mwaka mpya. Katika taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa na msemaji Advera Bulimba imesema wamejipanga vyema kukabiliana na vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza na kuimarisha ulinzi katika fukwe za bahari na maeneo mbalimbali ya starehe. Taarifa hiyo […]
The post Saa chache kabla ya kufunga mwaka kuna hii taarifa kutoka Jeshi la Polisi.. appeared first on...