Bibi harusi aliyetoweka apatikana
Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi yao na kumwacha solemba bwana harusi, Joseph Machange amepatikana jijini Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Aliyetoweka baada ya kumaliza mbio apatikana
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Ni aibu ‘best man’ kumtongoza bibi harusi!
KAWAIDA yule mtu ambaye ni msimamizi wa harusi, yaani ‘Best Man’ kama aitwavyo kwa lugha ya wenzetu, mtu huyu ndiye anayetakiwa kuwa karibu sana na maharusi, siyo tu kwa ajili ya...
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Zawadi, uheshimiwa ni vya bwana na bibi harusi
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa
10 years ago
Mwananchi22 Nov
MADHARA: Kucha za bandia zagharimu maisha ya bibi harusi
11 years ago
Michuzi28 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaa0d407G4PwKfjDz5R8Tqsq-gbyTGMK5Ev8vtobDYOdRjb*YJEYDL8ppD4CX1YbFMpYcsYwxfakdf7n3oBjfuO/bibiharusi.jpg?width=650)
BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/yMKe4QxqA0s/default.jpg)