Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu itakayojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

JK aongoza kikao Maalum cha Kamati kuu dodoma


 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha kamati kuu ya CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo jioni.Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kitachagua wagombea watano ambao majina yao yatapelekwa katika Halmashauri kuu katika mchakato wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa SMZ Dkt.Ali Mohamed...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu mjini Dodoma

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema, Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.

Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...

 

9 years ago

CCM Blog

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambapo ajenda kuu ilikuwa kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philipo Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia).
 Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kikiendelea...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM kilchofanyika katika ukumbi wa White house, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.Wajumbe wa Kamati kuu ya CCM.

 

9 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA



Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inatarajiwa kufanya kikao chake cha siku moja mjini Dodoma kesho Novemba 15, 2015 kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa Rasmi - Uspika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani