Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM kilchofanyika katika ukumbi wa White house, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.Wajumbe wa Kamati kuu ya CCM.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta alioowasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014. Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), Mhe George Mkuchika akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA LEO


 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu  ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Dodoma

.Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leoMwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakipiga makofi pamoja na wajumbe wengine muda mfupi baada...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Mjini Unguja

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) alipokuwa akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza Kikao cha Kamati...

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO, HAMASA ZATANDA UKUMBINI

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma tarehe 10 Juni 2020. Upande wake wa kulia ni makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Makamu wa Rais Samia Sulu Hassan, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Waziri Mkuu Maliwa Kasim Majaliwa na upande wake wa Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM ikulu Dar es Salaam

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya taifa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili kulia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na wawatu kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kusimama kwa dakika chache kumkumbuka mjumbe wa baraza la wawakilishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani