Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akabidhi kombe kwa washindi wa shindano la Airtel Rising Stars

  Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa timu ya Ilala Academy Maisala Adam baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Ilala juzi. Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa timu ya Temeke All Stars Maulid Jamal baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Temeke juzi.

 Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga

6

Mwili wa marehemu  Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.

12

Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa  marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma.

4

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Jenista Mhagama (mwenye nguo nyekundu) akimfariji Mwenyekiti wa Bunge Bi. Lediana Mng’ong’o mara baada ya bunge kuahirishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Bi. Eugen Mwaiposa. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Bi. Mary Nagu na kushoto ni wabunge James Mbatia na Goodluck Ole Medeye.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anjela Kairuki (kushoto) akitoka nje ya ukumbi wa bunge akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA MJINI DODOMA

6Mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.12Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma.4Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake mjini...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KWENYE MAZISHI YA MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA MAREHEMU EUGENE MWAIPOSA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Maiposa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Juni 06, 2015 nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima ya mwisho kwenye Jeneza lenye Mwili wa aliyekua Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Mwaiposa aliyefariki Ghafla nyumbani kwake Dodoma...

 

9 years ago

Michuzi

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA

 Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodhawa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katikamichuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Starsmkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika janakatika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.  Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Evergreen Linda Shilla baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya...

 

9 years ago

GPL

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA‏

Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.…

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani