RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU EUGEN MWAIPOSA (MBUNGE), JIJINI DAR ES SALAAM

Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga
Mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.
Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake...
11 years ago
MichuziMh. Lowassa na Mh. Walioba washiriki Ibada ya Kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro jijini dar leo
10 years ago
Vijimambo04 Jun
MWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA MJINI DODOMA



10 years ago
Vijimambo
MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Marehemu EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...
10 years ago
Michuzi
RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA MAREHEMU DONALD KELVIN MAX VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR ES SALAAM


10 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR