Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Lowassa na Mh. Walioba washiriki Ibada ya Kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro jijini dar leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsalimia Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokutana katika msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,Mzee Joseph Butiku wakati wakiwa kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRICK QORRO LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombelezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Karatu Waziri wa Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Mhe. Patrick Qorro (72)  aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia Jumamosi baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa ( MOI)  jijini Dar es Salaam.
Marehemu Qorro ambaye wakati wa Serikali ya awamu ya kwanza aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali, ikiwamo Waziri mdogo wa Kilimo na...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa marehemu George Liundi. Jeneza lenye mwili wa marehemu Bakari George Liundi likiwa mbele ya waombolezaji.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA MAREHEMU DONALD KELVIN MAX VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es SalaamMama Salma  Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU KAPTEN KOMBA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakeze Mama Zakhia Bilal na Mama Asha Bilal, wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Kapteni John Komba, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Machi 2, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Baada ya shughuli hiyo mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Kijiji cha Litui Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma kwa maziko.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA AHUDHURIA MSIBA WA PATRICK QORRO

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam jana. ...akisalimiana na Profesa wa Chuo Kikuu DSM, Issa Shivji…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Bilal wawaongoza wananchi kuaga mwili wa marehemu William Shija viwanja vya Karimjee Dar leo

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. (Picha na OMR).

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani