Gurumo afariki dunia
>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MpiIfxh4lb8/U0qpCTD-qGI/AAAAAAAFadk/2NFfL4A-6iU/s72-c/GURUMO.jpg)
NEWS ALERT: MAALIM MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MpiIfxh4lb8/U0qpCTD-qGI/AAAAAAAFadk/2NFfL4A-6iU/s1600/GURUMO.jpg)
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwanamuziki mkongwe Tanzania Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia
Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (pichani) amefariki Dunia leo jijini Dar katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Hivi karibuni Marehemu Muhidini Gurumo alitangaza kustaafu muziki baada ya afya ya kutetereka na kuamua kupumzika hadi mauti yalipomfika.
MOblog inaunga na familia ya marehemu, watanzania wote pamoja na mashabiki wake kuomboleza kifo chake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi Amen.
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mbunge afariki dunia
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia