NEWS ALERT: MAALIM MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MpiIfxh4lb8/U0qpCTD-qGI/AAAAAAAFadk/2NFfL4A-6iU/s72-c/GURUMO.jpg)
MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwanamuziki mkongwe Tanzania Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia
Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (pichani) amefariki Dunia leo jijini Dar katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Hivi karibuni Marehemu Muhidini Gurumo alitangaza kustaafu muziki baada ya afya ya kutetereka na kuamua kupumzika hadi mauti yalipomfika.
MOblog inaunga na familia ya marehemu, watanzania wote pamoja na mashabiki wake kuomboleza kifo chake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi Amen.
11 years ago
GPLR.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO
11 years ago
Michuzi13 Apr
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s72-c/basata_logo.jpg)
basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo
![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s1600/basata_logo.jpg)
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2IM1jk8sT0qOCFLAi5AEDcNKXp1rG26CxMGBMA5DC4qDH3R3HzWhA4J78MFZ57ZCir91yrvYQMZ5PZ74gTsoFK/g1.jpg?width=650)
JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-txid3jp89QE/U01xoXGYfCI/AAAAAAAFbCc/pdn8rdYLbCk/s72-c/g1.jpg)
JUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII
![](http://3.bp.blogspot.com/-txid3jp89QE/U01xoXGYfCI/AAAAAAAFbCc/pdn8rdYLbCk/s1600/g1.jpg)
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...
11 years ago
GPLHUYU NDIYE MUHIDIN ‘MAALIM’ GURUMO
11 years ago
Michuzi15 Apr