JUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLJK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA
11 years ago
MichuziMAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...
11 years ago
GPLR.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO
11 years ago
Michuzi13 Apr
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: MAALIM MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA...
11 years ago
GPLHUYU NDIYE MUHIDIN ‘MAALIM’ GURUMO