JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA
![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2IM1jk8sT0qOCFLAi5AEDcNKXp1rG26CxMGBMA5DC4qDH3R3HzWhA4J78MFZ57ZCir91yrvYQMZ5PZ74gTsoFK/g1.jpg?width=650)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-txid3jp89QE/U01xoXGYfCI/AAAAAAAFbCc/pdn8rdYLbCk/s72-c/g1.jpg)
JUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII
![](http://3.bp.blogspot.com/-txid3jp89QE/U01xoXGYfCI/AAAAAAAFbCc/pdn8rdYLbCk/s1600/g1.jpg)
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s72-c/1.jpg)
MAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-M7Ibwx6ZZfY/U0vv12zxvJI/AAAAAAAFamw/jg7EwqwBnxs/s1600/2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aongoza waombolezaji msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...
11 years ago
GPLR.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO
11 years ago
Michuzi13 Apr
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MpiIfxh4lb8/U0qpCTD-qGI/AAAAAAAFadk/2NFfL4A-6iU/s72-c/GURUMO.jpg)
NEWS ALERT: MAALIM MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MpiIfxh4lb8/U0qpCTD-qGI/AAAAAAAFadk/2NFfL4A-6iU/s1600/GURUMO.jpg)
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s72-c/basata_logo.jpg)
basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo
![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s1600/basata_logo.jpg)
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote...