Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamuziki wa Tanzania wanavyomkumbuka Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO

Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata Makuburi),leo.Shughuli zote za Mazishi zinaendelea nyumbani hapo.Tarati bu za Mazishi zimefanyika,yatafanyika kesho Aprili 15,2014 kwenye Makaburi yaliopo kwenye kijiji cha Masaki,Kisarawe mkoani Pwania.  Mmoja wa wanamuziki wa zamani na aliewahi kufanya kazi Pamoja na Marehemu Mzee Muhidin Maalim...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwanamuziki mkongwe Tanzania Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia

gurumo

Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (pichani) amefariki Dunia leo jijini Dar katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Hivi karibuni Marehemu Muhidini Gurumo alitangaza kustaafu muziki baada ya afya ya kutetereka na kuamua kupumzika hadi mauti yalipomfika.

MOblog inaunga na familia ya marehemu, watanzania wote pamoja na mashabiki wake kuomboleza kifo chake.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi Amen.

 

11 years ago

GPL

R.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO

Mzee Gurumo akiwa na Msondo Ngoma enzi za uhai wake. Maalim Gurumo (katikati) akiimba sambamba na Shabani Dede (kulia) na …

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO ZA MAREHEMU MUHIDIN GURUMO

Picha kwa hisani ya…

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

JUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...

 

11 years ago

GPL

JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAALIM MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA

MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU,HALI ILIYOMPELEKEA KUSHINDWA KABISA KUONEKANA TENA JUKWAANI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani