Jose Chameleone: Nasaidia wasanii wachanga kwasababu nilipokuwa msanii mdogo nilinyimwa nafasi hiyo
Jose Chameleone ni mwanamuziki mkubwa wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, lakini ni miongoni mwa wanamuziki ambao hawana ugumu wa kusaidia wasanii mbalimbali hata wadogo pale linapokuja swala la kufanya collabo. Staa huyo kutoka Uganda ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania, wakiwemo wakubwa na wanaochipukia, kitu ambacho amesema anafanya kwa msanii yeyote atakaye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM17 Mar
Jose Chameleone afiwa na Mdogo wake

9 years ago
Bongo509 Nov
Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo

Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.
Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.
“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...
10 years ago
Bongo517 Mar
Mdogo wa Jose Chameleone, AK47 afariki dunia
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
10 years ago
Bongo518 Nov
Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii mchanga (Exclusive Audio)
10 years ago
Bongo519 Nov
New Music: Jose Chameleone — Milliano
10 years ago
Bongo521 Oct
Barnaba arekodi wimbo na Jose Chameleone
10 years ago
Bongo527 Nov
New Music Video: Jose Chameleone — Milliano