Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii mchanga (Exclusive Audio)

Msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, amekanusha ripoti zilizoandikwa kwenye mtandao wa BigEye wa Uganda kuwa amemuomba Diamond Platnumz wafanye collabo. Chameleone ameiambia Bongo5 kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nawaomba radhi mashabiki wangu sitaweza kutoa collabo yangu na Jose Chameleone Ijumaa hii — Barnaba

Barnaba Classic ni msanii mwingine aliyekuwa ameahidi kuachia wimbo mpya wiki hii, ‘Nakutunza’ ambao ni collabo yake na Jose Chameleone wa Uganda. Baada ya kupata nafasi ya kurekodi na Chameleone aliyekuja nchini hivi karibuni, Barnaba hakutaka kupoteza muda, alitangaza kuwa tarehe 30 Oct ndio angeiachia single hiyo. Akizungumza na Bongo5 leo, Barnaba amewaomba radhi mashabiki […]

 

9 years ago

Bongo5

Jose Chameleone: Nasaidia wasanii wachanga kwasababu nilipokuwa msanii mdogo nilinyimwa nafasi hiyo

Jose Chameleone ni mwanamuziki mkubwa wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, lakini ni miongoni mwa wanamuziki ambao hawana ugumu wa kusaidia wasanii mbalimbali hata wadogo pale linapokuja swala la kufanya collabo. Staa huyo kutoka Uganda ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania, wakiwemo wakubwa na wanaochipukia, kitu ambacho amesema anafanya kwa msanii yeyote atakaye […]

 

10 years ago

Bongo5

Exclusive: Diamond afunguka kuhusu Wema, Zari, Penny, Chameleone, Yemi Alade, Waje na mengine (Video)

Tumekaa na Diamond Platnumz kuzunguma mambo kibao hususan tetesi zinazoendelea sasa kuwa ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu na kuwa ana uhusiano na mfanyabiashara mrembo wa Uganda, Zari the Bosslady pamoja na issue zingine. Itazame hapo chini au soma kwa kifupi baadhi ya kile alichokisema. Kuhusu kwanini anatumia wazungu zaidi kwenye video zake Mimi nafikiri […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ameenda Rwanda na timu ya watu 22 (Exclusive Audio)

Diamond Platnumz amesafiri na timu ya watu 22 kwaajili ya show yake ya mwaka mpya jijini Kigali Rwanda. Diamond akiongea na waandishi wa habari jijini Kigali Kwenye timu hiyo ofcourse yumo first lady Zari the Bosslady, mameneja wake, bodyguard, DJ, wapiga picha wake na dancers. Staa huyo anatarajiwa kutumbuiza kwenye matamasha mawili ambayo ni pamoja […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond amesharekodi collabo na msanii mkubwa wa Marekani, hutaamini ni yupi!

Diamond Platnumz is unstoppable! Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa Marekani japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri sahihi! Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye kazi. […]

 

11 years ago

Bongo5

Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)

Kabla ya kutoka na ‘Kamwambie’ na kisha kufuata na hits nyingi mfululizo, Diamond alikuwa rapper. Na katika kuthibitisha kuwa bado anaweza kuchana, hitmaker huyo ameitumia beat ya wimbo ‘Show Me’ wa Kid Ink f/ Chris Brown kwenye kipindi cha The Hitlist cha Choice FM na kuwaacha watangazaji wa show hiyo mdomo wazi. Msikilize mwenyewe hapo […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jose Chameleone — Milliano

Superstar wa Uganda, Jose Chameleone ameachia ngoma mpya ‘Milliano’. Isikilize hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Jose Chameleone afurahia maisha Marekani

joseBAADA ya wasanii wengi kukosa muda wa kuwa karibu na familia zao, msanii tajiri Afrika Mashariki, Jose Chameleone, ameonyesha

mfano bora kwa kusafiri na familia yake ya watoto watatu na mke, Daniella katika ziara ya onyesho lake jijini New York, nchini Marekani.

Mkali huyo wa wimbo wa ‘Tubonge’, alitumia fursa hiyo kuzunguka mitaa mbalimbali ya jiji hilo huku akifurahi na kupiga picha na familia yake kisha kuzituma katika mitandao yake ya kijamii.

Haya wasanii wetu wakati ni huu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani