Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond amesharekodi collabo na msanii mkubwa wa Marekani, hutaamini ni yupi!

Diamond Platnumz is unstoppable! Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa Marekani japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri sahihi! Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye kazi. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jose Chameleone: Sijamuomba collabo Diamond, mimi si msanii mchanga (Exclusive Audio)

Msanii mkongwe wa Uganda, Jose Chameleone, amekanusha ripoti zilizoandikwa kwenye mtandao wa BigEye wa Uganda kuwa amemuomba Diamond Platnumz wafanye collabo. Chameleone ameiambia Bongo5 kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika

Diamond Platnumz ambaye amefanya collabo na msanii mkubwa wa R&B wa Marekani, Ne-Yo ameelezea hatua ilipofikia project hiyo inayotarajiwa kumfungulia njia ya mafanikio zaidi kimataifa. Akizungumza na mtangazaji wa Citizen ya Kenya, Mzazi Willy Tuva, Platnumz amesema kuwa wimbo huo umekamilika lakini hawezi kusema utatoka lini kwa sasa kuna baadhi ya mambo ambayo anayoyaweka sawa […]

 

9 years ago

Dewji Blog

TIGO yampokea Msanii Diamond, Umati mkubwa wafurika kumlaki jijini Dar

2

Meneja wa Tigo music, Hamza Balla akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kumpokea msanii wa kizazi kipya Nassib Abdul Diamond (kushoto)mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Pembeni kulia Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar.

3

Msanii Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kumpokea  mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Wengine kushoto...

 

11 years ago

BBCSwahili

Msanii yupi atawika 2014?

Mwaka mpya mambo mapya. Je ni msanii gani atawika mwaka huu wa 2014?

 

10 years ago

BBCSwahili

Je ni msanii yupi anayelipwa pesa nyingi zaidi ?

Robert Downey Jr awapiku Jackie Chan na Tom Cruise katika orodha ya Forbes ya wasanii waliopokea mshahara mkubwa zaidi

 

10 years ago

Bongo5

Hutaamini rapper wa Marekani aliyetangaza kugombea Urais mwaka 2016!

Hillary Clinton ameshatangaza nia ya kugombea urais mwaka 2016 lakini huenda akakutana na upinzani kutoka kwa Mmarekani mweusi mwingine kama ilivyokuwa kwa Barack Obama mwaka 2008! Hata hivyo huyu si mshindani unayeweza kumdhania – ni rapper! November mwaka 2012, Waka Flocka Flame alitweet: I’m dead ass running for president in 2016.” Na sasa amethibitisha kuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Hutaamini alichopost Youtube msichana huyu wa Kenya kumtongoza Diamond ‘I am ready to start a project with you’

Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye ndoto za kuwa wapenzi wa hitmaker huyo wa ‘Number One’. Msichana wa Kenya aitwaye Tiara ameanzisha kampeni Youtube kutaka kufikisha ujumbe wake kwa Diamond. Jana, Tiara ameupload […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond au Alikiba? Mr Blue aeleza yupi anayependa kufanya naye ngoma

Kihistoria, Diamond na Alikiba ni wadogo zake Mr Blue. Wakati Mr Blue anatamba na ngoma zake ikiwemo Mapozi, hakuna aliyekuwa akiwafahau wawili hao. Na kuna wakati Blue aliwahi kusimulia namna alivyokerwa na tabia ya Diamond ya kutembea na ex wake akiwe Wema na Najma. Hata Hivyo rapper huyo wa Pesa, amesema anawakubali wote Alikiba na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani