TIGO yampokea Msanii Diamond, Umati mkubwa wafurika kumlaki jijini Dar
Meneja wa Tigo music, Hamza Balla akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kumpokea msanii wa kizazi kipya Nassib Abdul Diamond (kushoto)mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Pembeni kulia Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar.
Msanii Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Wengine kushoto...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UMATI WAFURIKA TAMASHA LA COCA COLA HUKO COCO BEACH DAR
10 years ago
GPLUMATI WA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAFURIKA MAHAKAMANI MORO
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...
10 years ago
Bongo510 Apr
Diamond amesharekodi collabo na msanii mkubwa wa Marekani, hutaamini ni yupi!
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa
Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.
Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...
10 years ago
VijimamboUMATI MKUBWA WAMZIKA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA
baadhi ya umati wa kinamama waliofika nyumba kwa kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baada ya kupata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi marehemu bibi Halima Nchimika.
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Banda la TIGO lafurika umati wa watu kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba





10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Kampuni ya TIGO yafuturisha jijini Dar
Meneja mkuu wa Rasilimali Watu wa Tigo Tanzania, Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakzi wa Tigo na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kituo cha...