Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://img.youtube.com/vi/c8adcYnIulQ/default.jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-npwbUKom_a0/ViW2jJQf9mI/AAAAAAAAWrI/ufhK6pnVHIk/s72-c/12112210_1044600588926118_2943242378101015355_n.jpg)
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
LOWASSA apata mapokezi ya Kihistoria Kisiwani Pemba, wafuasi wa UKAWA wafurika kumpokea
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015..
![](http://4.bp.blogspot.com/-c8RDOFHt1u4/Vg_topudqOI/AAAAAAAAO8o/PjZ7H6REfV0/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YNRNdv1U7u0/Vg_tosQeosI/AAAAAAAAO8w/puja8iyfm1c/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bemXipCgV34/ViUpWjoB0NI/AAAAAAABXtI/n9tZtC7pYso/s72-c/1.jpg)
LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-bemXipCgV34/ViUpWjoB0NI/AAAAAAABXtI/n9tZtC7pYso/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EQHfGiAtr7E/ViUpViaDguI/AAAAAAABXs4/GPcmBrncVpk/s640/002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q-tpQJFp0zo/ViUpVnXOziI/AAAAAAABXs0/9n4Vy4uXavs/s640/02.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-s4mabfVeaAw/ViUpZHJK4YI/AAAAAAABXtY/neaU2_Bg_cY/s640/3.jpg)
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Edward Lowassa aiteka tena Dar
MAELFU ya wakazi wa Dar es Salaam jana waliacha shughuli zao zote na kujiunga katika msafara wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye alikuwa na mikutano ya kampeni katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Kawe.
Lowassa aliwasili Temeke katika Uwanja vya Mwembeyanga saa 05:20 asubuhi ambako alilakiwa na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza.
Akifuatana na Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Staili ya Chegeni yatumika tena kumshawishi Edward Lowassa
10 years ago
GPLUMATI WA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAFURIKA MAHAKAMANI MORO
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AZxLqlRb_jk/VdHmvZ0f1OI/AAAAAAAD3e8/MvC-sElNdZk/s72-c/93ae4f357171b21a8928cce78bc4df56.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGFH4yg9OaUKfxR4JY9-cZBWb0gfr21krTvmYGshaYYSzoVA-YbvvMYTkko10XX9Mk0tEFgmozRZkWc9D2nGlg3a/1.jpg?width=650)
UMATI WAFURIKA TAMASHA LA COCA COLA HUKO COCO BEACH DAR