Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.


Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...

 

9 years ago

IPPmedia

Dar, Mbeya boxers for non-title bout in Kyela


IPPmedia
Dar, Mbeya boxers for non-title bout in Kyela
IPPmedia
Mbaya professional boxer, Maisha Samson, will be seeking to land an opportunity to participate in a high-profile bout when he takes on Dar es Salaam's Salum Nassor in an eight-round, non-title Middleweight bout at the former's venue in Kyela on ...
Firm avails three scholarships to needy studentsDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 2

 

9 years ago

GPL

JOHN POMBE MAGUFULIA ATIKISA KYELA, MBEYA

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufulia (kulia) akiongea na  Harrison George Mwakyembe (katikati) akiwa Kyela mkoani Mbeya leo. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufulia kihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi la… ...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNIKA MBEYA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa afunika Arusha

Arusha. Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani