Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA REGINA LOWASSA AKIWA KATIKA MKUTANO WA NDANI MKOANI MBEYA

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA REGINA LOWASSA AZINDUA KIKUNDI CHA PHENOMENAL WOMEN GROUP KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

DSCF3003Mgeni rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani  iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi hicho,Hafla iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden Moshono jijini Arusha, ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani. DSCF3007Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kikundi hicho...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA REGINA LOWASSA ASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE LEO

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam. Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea. Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo. Watoto wa Mh. Edward na Mama...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA AKIWA ZIARANI MKOANI RUKWA KATIKA MKUTANO WA OPERESHENI DELETE CCM

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Muze, Sumbawanga Vijijini, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya Operesheni Delete CCM, (Jumamosi 29/11/2014.)

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Muleba, wakati walipowasili kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA AFUNGA KAZI MKOANI IRINGA KATIKA MKUTANO WAKE WA KAMPENI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, Mkoani Iringa, Agosti 30, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, IRINGA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA

Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo, Septemba 2, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, RUKWA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani