Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA REGINA LOWASSA AZINDUA KIKUNDI CHA PHENOMENAL WOMEN GROUP KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

DSCF3003Mgeni rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani  iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi hicho,Hafla iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden Moshono jijini Arusha, ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani. DSCF3007Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kikundi hicho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA REGINA LOWASSA ASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE LEO

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam. Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea. Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo. Watoto wa Mh. Edward na Mama...

 

10 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA


Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe  wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka 

Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati.

 

5 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI


 Mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru akiuliza swali kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA walipoenda chuoni hapo kutoa elimu namana ya matumizi sahihi ya Mitandao pamoja na kuwajengea uelewa namna ya kutunza usiri wa faragha zao.Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru wakifuatilia kile kinachoendelea kutoka mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA

 Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha  Maendeleo ya Jamii Tengeru...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA KIGAMBONI AZINDUA NA KUCHANGIA KIKUNDI CHA AMANI GROUP KINGUGIA

 Dk. Faustine Ndungulile akiwa na akina mama wa Amani Group Kingugia wakati wa uzinduzi huo.  Akina mama wa Amani Group Kingugia wakiwa kwenye picha ya pamoja.  Mlezi wa Amani Group Kingugia, Fatuma Shija akitoa shukrani.…

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika tukio la kujitolea damu lililoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana.Meneja Mahusiano ya Kibiashara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Lukemelelo Kaduma (katikati) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana....

 

11 years ago

Michuzi

PPF YAMWAGA MISAADA TEMEKE HOSPITAL KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam, Erica Sendegeya (Kushoto) na Mama wa Mapacha, Lucy Raphael (Kulia), wakifurahi, huku Erica akiwa amewabeba watoto  wakati Wafanyakazi Wanawake wa Mfuko huo, walipotembelea hospitali ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Jumamosi Machi 8, 2014, ili kuwafariji na kuwapatia misada, baada ya wafanyakazi hao kushiriki matembezi ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembeyanga.  Meneja wa Mfuko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani