Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI AFUNIKA MBEYA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.


Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNIKA CHATO LEO

 Maelfu wa wakazi wa Chato wakisikiliza kwa makini sera za Mgombea Urais kupitia CCM, John Magufuli. Wakazi wa Chato wakionesha mabango yao mbalimbali. Nyomi ya wanachama wa CCM kama inavyoonekana…

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNIKA NGOMA YA KIMASAI!

Richard bukos MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ameonesha ufundi wa hali ya juu kwa kucheza ngoma ya kimasai maarufu kwa jina la Osingilio. Magufuli akicheza ngoma ya Kimasai. Magufuli alionesha ufundi huo juzi Jumanne alipokuwa amekwenda kufanya kampeni katika wilaya Monduli, mkaoani Arusha, ambako ni ngome ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa anayeungwa mkono...

 

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli afunika Moro, ashusha neema

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNIKA KISARAWE NA UKONGA, BAADAE KUENDELEZA KAMPENI ZAKE PEMBA

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la Ukonga mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Dkt Magufuli amemaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na  baadae anatarajia kuhutubia mkutano wa Kampeni Pemba na Unguja. Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Ukonga Jerry Slaa wakijadiliana… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akabiliana na Ukawa Mbeya

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana alikabiliana na wafuasi wa Chadema katika ziara yake ya kampeni, akawaahidi mabadiliko wanayohitaji ya kuufanya Mkoa wa Mbeya kuwa kitovu cha mabadiliko.

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Mbeya kuanza kutekeleza agizo la Dk Magufuli

Zaidi ya Sh3.5milioni zimetumika kununulia  dawa kwa ajili ya wagonjwa  wa virusi vya ukimwi Mkoani Mbeya ikiwa ni utekelezaj agizo la Rais Dk  John Magufuli  la kuzitaka fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya  kufanya sherehe ya maadhimisho ya siku ya ukimwi dunia kununulia dawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani