Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ALIVYOTIKISA JIJI LA MBEYA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA BAADA YA KUPATA AJALI

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo. Mmoja wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU),akimpa maelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

JIJI LETU LA MBEYA

Haya ni Baadhi tuu ya Maeneo Jijini Mbeya

Mbeya yetu tulifanikiwa kupata Muonekano wa eneo hili la Jiji kama linavyo onekana
Mkazi wa Jiji La Mbeya unaweza Kutambua Maeneo haya?
huu ni mwanzo tuu usikose kuona picha zaidi ya Jiji letu la Mbeya
Picha na Mbeya Yetu

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Kingwendu Alivyotikisa Kisarawe

Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgembea ubunge  jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya  chama cha wananchi CUF  alipokuwa akinadiwa na mgombea mwenza wa  urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni.

 

11 years ago

GPL

MISHEMISHE NDANI YA JIJI LA MBEYA

Vijana wakiwa katika shughuli zao za kujipatia kipato jijini Mbeya. Kijana huyu alinaswa akiangalia jezi yenye jina la mshambuliaji hatari wa Simba, Amisi Tambwe.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara walionya Jiji Mbeya

Wafanyabiashara 400 waliopewa eneo la kuanzisha soko ndani ya Viwanja vya John Mwakangale (Nanenane) wameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya kuacha kuwachokoza kwenye mpango wao ili kudumisha amani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Jiji la Mbeya matatani

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini endapo Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, alihusika kwenye tuhuma zinazowakabili vijana wawili waliomtaja kuwa aliwatuma...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aliteka jiji la Mbeya

OTH_6174FREDY AZZAH, MBEYA

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amelifunga jiji la Mbeya kwa mapokezi na kuomba kura akisema hana mchezo na kazi.

Pia, ameendelea kuwasisitizia wananchi, umuhimu wa kulinda kura zao baada ya kupiga hadi kitakapoeleweka.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe vilivyopo jijini hapa.

“Wana Mbeya, kuna rafiki yangu...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA PIGO JIJI LA MBEYA


  Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri  ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani