Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara walionya Jiji Mbeya

Wafanyabiashara 400 waliopewa eneo la kuanzisha soko ndani ya Viwanja vya John Mwakangale (Nanenane) wameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya kuacha kuwachokoza kwenye mpango wao ili kudumisha amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waulalamikia uongozi wa jiji

WAFANYABIASHARA wa soko la samaki ‘deep sea’ mkoani Tanga wameulalamikia uongozi wa jiji hilo kwa kushindwa kutatua kero zinazowakabili na badala yake wanaendelea na kampeni ya kuwabomolea vibanda vya wafanyabiashara...

 

10 years ago

Habarileo

Jiji, wafanyabiashara Mwanza wazika tofauti

Hassan HidaUONGOZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza umesema kuwa umeumaliza mgomo wa takribani siku tatu ambao umekuwa ukifanywa na wafanyabiashara wa kati jijini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA KODI

Na Tinah Reuben, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Dar es salaam (JWT), Philimon Chonde amesema suala la kupandishwa kwa kodi kwa asilimia mia moja limepitishwa kinyemela bila ya wao kuwashirikisha wala kujadiliana na wafanyabiashara hao.
Akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Lamada Hotel jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wabunge, ameeleza kuwa mfumo wa kodi uliopo umekaa kikoloni kwani unawakandamiza wafanyabiashara ili waendelee kuwa ...

 

10 years ago

Vijimambo

JIJI LETU LA MBEYA

Haya ni Baadhi tuu ya Maeneo Jijini Mbeya

Mbeya yetu tulifanikiwa kupata Muonekano wa eneo hili la Jiji kama linavyo onekana
Mkazi wa Jiji La Mbeya unaweza Kutambua Maeneo haya?
huu ni mwanzo tuu usikose kuona picha zaidi ya Jiji letu la Mbeya
Picha na Mbeya Yetu

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wa nje waisifia Mbeya

 Wafanyabiashara kutoka nchi za Syria, Pakistan, India na Uganda wanaoshiriki maonyesho ya kimataifa wamewasifu wakazi wa Jiji la Mbeya kwa utulivu na kufuata haki katika biashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Jiji la Mbeya matatani

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini endapo Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, alihusika kwenye tuhuma zinazowakabili vijana wawili waliomtaja kuwa aliwatuma...

 

11 years ago

GPL

MISHEMISHE NDANI YA JIJI LA MBEYA

Vijana wakiwa katika shughuli zao za kujipatia kipato jijini Mbeya. Kijana huyu alinaswa akiangalia jezi yenye jina la mshambuliaji hatari wa Simba, Amisi Tambwe.…

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aliteka jiji la Mbeya

OTH_6174FREDY AZZAH, MBEYA

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amelifunga jiji la Mbeya kwa mapokezi na kuomba kura akisema hana mchezo na kazi.

Pia, ameendelea kuwasisitizia wananchi, umuhimu wa kulinda kura zao baada ya kupiga hadi kitakapoeleweka.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe vilivyopo jijini hapa.

“Wana Mbeya, kuna rafiki yangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani