CHADEMA YAPATA PIGO JIJI LA MBEYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZCTxHTAywqk/XlO5LOBiC4I/AAAAAAACzUQ/IFj5bF-CqVsieIxdRNY45NxALi5_wWgCgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Dec
Chadema Arusha yapata pigo
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata pigo baada ya mapingamizi yake 155 kwa wagombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Jiji la Arusha kutupwa.
9 years ago
MichuziWANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.
9 years ago
MichuziJIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
GLOBAL YAPATA PIGO
9 years ago
Bongo507 Dec
Arsenal yapata pigo jingine jipya
![hi-res-72691e3dd61baaaaecea47125f14ebee_crop_north](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hi-res-72691e3dd61baaaaecea47125f14ebee_crop_north-300x194.jpg)
Klabu ya Arsenal itamkosa kiungo wake wa kati Santi Cazorla hadi Machi mwakani, meneja wake, Arsene Wenger ameleeza.
Mchezaji huyo anayechezea timu ya taifa ya Hispania, aliumia goti wakati wa mchezo kati ya Arsenal na Norwich ulioisha kwa sare ya 1-1. Klabu hiyo tayari ina majeruhi kiungo wao mwingine wa kati Francis Coquelin atakayekaa nje miezi mitatu baada ya kuumia goti.
Beki wa kati Laurent Koscielny na mshambuliaji Theo Walcott wameshapona majeraha yao na watarejea uwanjani.
Alexis...
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Usalama Kenya:Serikali yapata pigo.
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Raheem Sterling:Liverpool yapata pigo
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
10 years ago
Mwananchi01 Mar
CCM yapata pigo, nani ataimba kama Komba?
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10