Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE

Meya Mteule wa jiji la Mbeya Diwani wa Kata ya Nzovwe(CHADEMA) Ndugu David Mwasilindi ambaye aliibuka kidedea kwa kupata kura 34 dhidi ya Mpinzani wake wa CCM aliyepata kura 14 katika uchaguzi uliofanyika Desemba 10 katika ukumbi wa Mkapa jijini humo. Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya Ndugu Quip Mbeyela ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti katika Kikao cha Baraza la Madiwani ambacho kiliketi kufanya uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji hilo pamoja na Naibu Meya katika Halmashauri ya jiji la Mbeya . 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA

OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Jiji la Mbeya matatani

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini endapo Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, alihusika kwenye tuhuma zinazowakabili vijana wawili waliomtaja kuwa aliwatuma...

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wazee Chadema lapata Mwenyekiti mpya

SAFU mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA BAADA YA KUPATA AJALI

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo. Mmoja wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU),akimpa maelezo...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA PIGO JIJI LA MBEYA


  Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri  ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake

20141212_150512

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa  serikali za  mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.

Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.  

Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWEKA KAMBI MBEYA, AUNGURUMA VIWANJA VYA RWANDA-,NZOVWE

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015. Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAHUDHURIA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU MAMA ESTHER S. MWAIPASI NZOVWE MBEYA.

Marehemu Esther S. Mwaipasi enzi za Uhai wake Mwili wa Marehemu ukiwa unaingia nyumbani  Ndugu wa karibu wakiwa wanaomboleza kwa majonzi kifo cha Marehemu Esther S. Mwaipasi Baadhi ya Ndugu wa karibu wa Marehemu na waombolezaji wakiwa tayari kwa kuanza Misa ya kumuombea Marehemu Mchungaji Dkt. Nzowa akiendesha Ibada ya Kumuombea na kumuaga Marehemu Esther S. Mwaipasi

Mume wa Marehemu Esther Mwaipasi akiwa katika Majonzi 
 Baadhi ya watoto wa Marehemu Mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt. Gwamaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani