LOWASSA AWEKA KAMBI MBEYA, AUNGURUMA VIWANJA VYA RWANDA-,NZOVWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-glYEsG9dUoM/ViPJ27foXCI/AAAAAAAAbfQ/rkIZeDImlxw/s72-c/OTH_6156.jpg)
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AUNGURUMA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA
Chama Cha Wananchi CUF kimefunga rasmi kampeni zake za uchaguzi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka wadau wa uchaguzi kuheshimu maamuzi ya wananchi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.Akizungumza kwenye mkutano huo wa ufungaji wa kampeni uliofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuiweka Serikali madarakani, hivyo...
9 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...
9 years ago
MichuziJIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE
10 years ago
VijimamboMAMIA WAHUDHURIA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU MAMA ESTHER S. MWAIPASI NZOVWE MBEYA.
Mume wa Marehemu Esther Mwaipasi akiwa katika Majonzi
10 years ago
Dewji Blog19 May
Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
MichuziMKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE
9 years ago
VijimamboLOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-TqeVrRiKypU/VeNaXCR_BrI/AAAAAAAAAlA/rH9OIMXHrEk/s72-c/OTH_1096.jpg)
LOWASSA AUNGURUMA MKOANI IRINGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-TqeVrRiKypU/VeNaXCR_BrI/AAAAAAAAAlA/rH9OIMXHrEk/s640/OTH_1096.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V8dkFGlzkvk/VeNagizJuXI/AAAAAAAAAlM/gd_o7MnFYFA/s640/OTH_1136.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-29H3GM3YDhM/ViUg3W6HPZI/AAAAAAAAbi8/z7Nwo9w_XnI/s72-c/16.jpg)
LOWASSA AUNGURUMA TUNDUMA NA KYELA, KAMPENI ZA UKAWA KUSITISHWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-29H3GM3YDhM/ViUg3W6HPZI/AAAAAAAAbi8/z7Nwo9w_XnI/s640/16.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6Vh1ZpEDSCI/ViUhjm4monI/AAAAAAAAbjs/XQuy5I8EXd4/s640/OTH_7105.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10