LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMIA WAAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboMAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Mazishi ya Dk.Emmanuel Makaidi kufanyika makaburi ya Sinza, mwili wake kuagwa leo asubuhi Viwanja vya Karimjee jijini Dar
Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.
Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA DKT SHIJA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO



10 years ago
StarTV21 Oct
Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.
Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.
Katika...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
JK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo
Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt....
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi01 May
PICHA MBALIMBALI ZA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI RAMADAHANI LEO KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR

Mke wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu Augustino Ramadhani, Saada Ramadhani (katikati) ambaye ni Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe leo kwenye viwanja vya Karimjee vilivyoko Jijini Dar es Salaam wakati wa Mazishi ya Kitaifa.
