PICHA MBALIMBALI ZA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI RAMADAHANI LEO KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR
Mke wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu Augustino Ramadhani, Saada Ramadhani (katikati) ambaye ni Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe leo kwenye viwanja vya Karimjee vilivyoko Jijini Dar es Salaam wakati wa Mazishi ya Kitaifa.Watoto wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu Augustino Ramadhani na ndugu wakimsaidia Mke wa marehemu, Saada Ramadhani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Mar
marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Mazishi ya Dk.Emmanuel Makaidi kufanyika makaburi ya Sinza, mwili wake kuagwa leo asubuhi Viwanja vya Karimjee jijini Dar
Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.
Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSG6vnOW6sRSr9vpgMJ26ZP0N7b5O0ZGnq-sB39tnqIupDxf0kMZ0zn2om8hsTEIluKjZ5FMNrts6*uTKnc9WWQ/KUAGWAMGIMWA7.jpg?width=650)
MWILI WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR
9 years ago
VijimamboMAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s72-c/20150602051217.jpg)
MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mjCUb-qEQpI/VW2inlnF2OI/AAAAAAAHbOk/Sj-gH18sfCc/s640/20150602051217.jpg)
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-3YIfMv8jjCA/VPRsc6iwVaI/AAAAAAADbQM/Lk9khKGHnt0/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU KAPTEN KOMBA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3YIfMv8jjCA/VPRsc6iwVaI/AAAAAAADbQM/Lk9khKGHnt0/s1600/01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nD6sJq4xwN0/VPRsc3bbuDI/AAAAAAADbQI/XNrbzh2SgXk/s1600/02.jpg)
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s1600/komba.gif)
RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) LEO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
10 years ago
Dewji Blog12 Oct
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Bilal wawaongoza wananchi kuaga mwili wa marehemu William Shija viwanja vya Karimjee Dar leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014. (Picha na OMR).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_i1ghNbU8xM/VDpavLrUQTI/AAAAAAAGpfU/Q4dSsHFhhjo/s72-c/s1.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA DKT SHIJA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_i1ghNbU8xM/VDpavLrUQTI/AAAAAAAGpfU/Q4dSsHFhhjo/s1600/s1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2Kg735QKSYo/VDpaw82f0_I/AAAAAAAGpfc/Cau2ahdQNZg/s1600/s2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CrCtxSMl_L0/VDqPGQpDPnI/AAAAAAAGpjo/uEqGwm-qJEA/s1600/s3.jpg)