Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.

Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.

Katika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa marehemu George Liundi. Jeneza lenye mwili wa marehemu Bakari George Liundi likiwa mbele ya waombolezaji.…

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MTIKILA

Rais Kikwete aongoza mamia kuaga mwili wa marehemu Mchungaji ChristopherMtikila Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumatatu Oktoba 7, 2015

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TUPPA

Viongozi Dini wakiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa zilizopita. Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo

DSC_0003

Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

DSC_0021

Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.

DSC_0026

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK,GHARIB BILAL AONGOZA MAMIA, KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MUFTI ALHAJ SHEIKH SHAABAN ISSA BIN SIMBA

 Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika Msikiti wa Kinondoni  kwa ajili ya ibada  kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waislaam wakiwa katika msikiti wa kinondoni katika ibada ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Mufti Alhaj  Sheikh Shaaban Issa Bin Simba iliyofanyika katika Msikiti wa Kinondoni leo jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani